Google Location Set Up Offer!!!
Ongeza Wateja Wako na Kuonekana Kila Mahali kwenye Google!
Tengeneza au Boresha Google Business Profile yako pamoja na Location kwenye Google Maps kwa urahisi, haraka na kwa gharama nafuu.
🔉Hii ni muhimu sana kwa kila mfanyabiashara au mtoa huduma ambaye anataka kubaki katika biashara kwa ufanisi katika Ulimwengu huu wa Kidigitali.
Mimi ni Mtaalamu mahiri na mwenye uzoefu mpana katika masuala ya Masoko ya Kidijitali, nikiwa sehemu ya Familia ya Akilikubwa. Pia ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa 2AZ Marketing Solutions.
Ninatoa huduma mbalimbali za Digital Marketing kwa Ufanisi mkubwa. Huduma ninzozitoa ni kama vile:
1. Kusimamia Account za Mitandao ya kijamii
2. Kutengeneza Maudhui bora yenye matokeo ya Uhakika
3. Kupanga na kurusha Matangazo katika Majukwaa ya Kidigitali
Mpaka sasa nimeshafanikiwa kuboresha mauzo, kukuza uwezo wa watu kupata wateja wa uhakika mtandaoni na kuongeza uwepo wao mtandaoni kwa mafanikio makubwa.
Mpaka sasa nimeshafanikiwa kuboresha mauzo, kukuza uwezo wa watu kupata wateja wa uhakika mtandaoni na kuongeza uwepo wao mtandaoni kwa mafanikio makubwa.
Huduma hii tutakufanyia yafuatayo:
Kukuwekea Location ya biashara yako au huduma katika Google Map
Kukuwekea taarifa muhimu za biashara yako katika Google
Kukuwekea njia imara za Ulinzi za Account yako ya biashara
Kukuwekea njia za kupata taarifa za maendeleo ya Account yako mtandaoni
Kukufungulia Account ya kufanya Matangazo kupitia Google
Leo nimekuja na offer ya Huduma moja muhimu sana kwako wewe mfanyabiashara au mtoa huduma popote ulipo Duniani. Huduma hii ni muhimu sana kwako katika Ulimwengu huu wa Kidigitali. Sio nyingine, bali ni “Google Business Profile and Google Location Set Up.”
‘Google Business Profile and Google Location”ni wasifu rasmi wa biashara kwenye Google unaoonyesha jina, huduma, namba ya simu, tovuti, saa za kazi, picha, mahali biashara yako ilipo na maoni ya wateja.
Ni njia bora na yenye ufanisi mkubwa ikiwa utaitumia kutambulisha biashara au huduma zako mtandaoni.
Umuhimu wa Google Bussiness Profile na Google Location
1. Kuonekana kwa urahisi kwenye Google Search na Maps
2. Kujenga uaminifu kupitia maoni na taarifa sahihi
3. Kurahisisha wateja kupata mawasiliano na mwelekeo wa biashara yako
4. Kukuza nafasi ya kupata wateja wapya mtandaoni
5. Kutumika katika matangazo ya Mtandaoni
Umuhimu wa Kuitambulisha Biashara au huduma yako katika Google Map
OFFER YETU…..!!!
Gharama za huduma hii ni Tsh 30,000/, lakini watu 10 wa mwanzo kuweka order ya Huduma watapa punguzo la asilimia 50%, yaani, ni 15,000/ tu.
Wahi sasa, nafasi ni chache sana!
Baadhi ya Wateja ambao niliwaseti Google Bussiness Profile na Google Location
Huyu ni Lupala Catering Services
Huyu ni Mambo Safi Ferniture